Ukiwa Mbali - Sol Generation&Sauti Sol

cover

如无法下载或有错误,请刷新重试或点此反馈给我们

Ukiwa Mbali - Sol Generation&Sauti Sol.mp3

[ilingku:026][ti:][ar:][al:][by...
[ilingku:026]
[ti:]
[ar:]
[al:]
[by:天琴实验室AI生成v1.0]
[00:06.450]Sol Generation
[00:09.030]Merry Christmas to the nation
[00:11.190]Oh, Lord
[00:15.750]Tulianza mwaka tukiwa wengi, wengine hawakumaliza
[00:21.150]Tukapanga nayo mipango mingi, lakini chache zikatimizwa
[00:25.410]Sasa sherehe kwa church, wengine kwa bar
[00:28.530]Count your blessings vile inafaa
[00:31.830]Ya Mola ni mengi, shetani hawezi pangua
[00:35.310]Salama kwako mama, Nairobi kuko sawa
[00:41.100]Nilipatana na vijana, tukaimba Extravaganza
[00:45.720]Crystal akajulikana, asante Maulana
[00:51.060]Aki ningeweza mama, nifungue macho nikuone
[00:56.580]Nikiwa mbali (Mbali mama)
[00:58.740]Umoja natamani (Natamani)
[01:01.590]Sijui nitafanyeje, Christmas nile na wewe
[01:06.990]Ukiwa mbali (Mbali mama)
[01:09.720]Umoja natamani (Natamani)
[01:12.000]Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe
[01:28.020]Siku hizi kuwa na shelerehe bila wewe
[01:31.110]Mpenzi harakisha usichelewe
[01:32.940]Nilizaliwa Disemba kama wewe
[01:36.240]Njoo njoo unibembeleze
[01:38.910]Moyoni ni mengi ninatarajia
[01:40.680]Dada I'd give it all, mbinguni na dunia
[01:44.220]Ili niwe na wewe muda unawadia
[01:45.540]Njoo nile rhumba na wewe
[01:49.920]Timing, imeharibiwa na kazi
[01:53.730]Na sijui nitafanyaje, nichome moja na wewe
[01:58.740]Niko grinding, na nimekushikia zawadi
[02:02.970]Yaani
[02:04.170]Sijui nitafikaje, ningependa nikupe mwenyewe
[02:09.419]Nikiwa mbali (Mbali mama)
[02:11.640]Umoja natamani (Natamani)
[02:14.640]Sijui nitafanyeje, Christmas nile na wewe
[02:19.950]Ukiwa mbali (Mbali mama)
[02:22.920]Umoja natamani (Natamani)
[02:25.080]Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe
[02:32.940]Oh-oh-oh
[02:34.980]Anywhere you are is home
[02:37.770]Naomba Christmass nile na wewe
[02:41.490]Ooooh
[02:45.390]Anywhere you are is home
[02:48.150]Naomba Christmass nile na wewe
[02:51.330]Nikiwa mbali (Mbali mama)
[02:55.050]Umoja natamani (Natamani)
[02:56.580]Sijui nitafanyeje, Christmas nile na wewe (Oh, no, no, no)
[03:01.800]Ukiwa mbali (Na ukiwa mbali)
[03:04.230]Umoja natamani (Natamani)
[03:06.810]Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe
[03:11.370](Mwaka na wewe)
[03:12.570](Umoja natamani)
[03:18.630]Nivuke mwaka na wewe
Sol Generation
Merry Christmas to the nation
Oh, Lord
Tulianza mwaka tukiwa wengi, wengine hawakumaliza
Tukapanga nayo mipango mingi, lakini chache zikatimizwa
Sasa sherehe kwa church, wengine kwa bar
Count your blessings vile inafaa
Ya Mola ni mengi, shetani hawezi pangua
Salama kwako mama, Nairobi kuko sawa
Nilipatana na vijana, tukaimba Extravaganza
Crystal akajulikana, asante Maulana
Aki ningeweza mama, nifungue macho nikuone
Nikiwa mbali (Mbali mama)
Umoja natamani (Natamani)
Sijui nitafanyeje, Christmas nile na wewe
Ukiwa mbali (Mbali mama)
Umoja natamani (Natamani)
Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe
Siku hizi kuwa na shelerehe bila wewe
Mpenzi harakisha usichelewe
Nilizaliwa Disemba kama wewe
Njoo njoo unibembeleze
Moyoni ni mengi ninatarajia
Dada I'd give it all, mbinguni na dunia
Ili niwe na wewe muda unawadia
Njoo nile rhumba na wewe
Timing, imeharibiwa na kazi
Na sijui nitafanyaje, nichome moja na wewe
Niko grinding, na nimekushikia zawadi
Yaani
Sijui nitafikaje, ningependa nikupe mwenyewe
Nikiwa mbali (Mbali mama)
Umoja natamani (Natamani)
Sijui nitafanyeje, Christmas nile na wewe
Ukiwa mbali (Mbali mama)
Umoja natamani (Natamani)
Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe
Oh-oh-oh
Anywhere you are is home
Naomba Christmass nile na wewe
Ooooh
Anywhere you are is home
Naomba Christmass nile na wewe
Nikiwa mbali (Mbali mama)
Umoja natamani (Natamani)
Sijui nitafanyeje, Christmas nile na wewe (Oh, no, no, no)
Ukiwa mbali (Na ukiwa mbali)
Umoja natamani (Natamani)
Sijui nitafanyeje, nivuke mwaka na wewe
(Mwaka na wewe)
(Umoja natamani)
Nivuke mwaka na wewe
展开
歌曲吧 版权投诉 请联系我们 123456@qq.com