Usikate Tamaaa-Goldenboy

cover

  如无法下载或有错误,请刷新重试或点此 反馈 给我们

Usikate Tamaaa - Goldenboy.mp3

[03:17.00]sina stress bila noti kwa...
[03:17.00]sina stress bila noti kwa pori,
[03:17.00]amenibless ndo nafika na stori,
[03:17.00]kama rafiki natambua 2 mwenyezi,
[03:17.00]wake shabiki nishaamua kumwacha siezi,
[03:17.00]mungu kiongozi bora nakupa na fora,
[03:17.00]kote sura nafikisha tizama kombora, {komboraaa}
[03:17.00]
[03:17.00]chorus
[03:17.00]usikate tamaaa,
[03:17.00]muombe mungu msamaaa,
[03:17.00]usimkumbuke tu kwa njaaa,
[03:17.00]mtukuze pia kwa raaa,
[03:17.00]yani kama ndoto nimepanda kwa jukwa,
[03:17.00]na life ya msoto alishanipa rufaaa,
[03:17.00]verse 1
[03:17.00]kama inzi nina kufa kwa kidonda,
[03:17.00]niko busy sina sifa za kuponda,
[03:17.00]life sikuhizi bila pesa utakonda,
[03:17.00]mungu ndo natambua so kila hatua dua,
[03:17.00]mtoto wa mshua yani situmiii kifua,
[03:17.00]kimbiza riziki na imani desturi ya msomali,
[03:17.00]mungu ndo rafiki na nyumbani jeuri ya mali,
[03:17.00]mengi wameshasema lakini bado nahema,
[03:17.00]wengi wakanitema na bado natenda wema,
[03:17.00]langu jina vinywani usiku na mchana,
[03:17.00]pesa sina c sura tulifichana,
[03:17.00]moyo ukachoma matusi ukanitukana,
[03:17.00]sasa nimepona na tena napendwa sana,
[03:17.00]kama kisu amekata wangu ujana,
[03:17.00]sina bifu nimedata kwake nimezama,
[03:17.00]bahati kubwa kumpata ambae tunaendana,
[03:17.00]sasa nimepona na tena napendwa sana,
[03:17.00]mungu ndo natambua so kila hatua dua,
[03:17.00]mtoto wa mshua yani situmiii kifua,
[03:17.00]chorus
[03:17.00]usikate tamaaa,
[03:17.00]muombe mungu msamaaa,
[03:17.00]usimkumbuke tu kwa njaaa.
[03:17.00]mtukuze pia kwa raaa,
[03:17.00]yani kama ndoto nimepanda kwa jukwa,
[03:17.00]na life ya msoto alisha nipa rufaaa,
[03:17.00]verse2
[03:17.00]naenda mbali japo mwanzo ni mgumu,
[03:17.00]sina mali nalala kwa single room,
[03:17.00]mbaya hali nashindwa na majukum
[03:17.00]kipaji jaaa kabariki wakati wa dhiki,
[03:17.00]kwenye raaa na kwenye dhiki ndo urafiki,
[03:17.00]bao nishatinga na mtoto yani ringa,
[03:17.00]mungu ndo kinga na ndoto kwenye runinga,
[03:17.00]chuki mzigo mzito sitaki karibu yangu,
[03:17.00]nduki za chicharito hifadhi asili yangu,
[03:17.00]wema ndo dini na c lazima uniamini, sema na mimi nisiondoke unipige chini,
[03:17.00]chuki sina thats y am neva bita,
[03:17.00]am a winner popote siwezi sita,
[03:17.00]kubwa jina kwenye fani nishakita,
[03:17.00]rap game niiite makaveli, siwezi kukufeli,
[03:17.00]hiii flow c ya matapeli, niiite msema kweli,
[03:17.00]walinidharau nimefika niko kwa teli,
[03:17.00]siwasikizi hao kabisa mungu ndo mkweli,
展开
广告图片
广告图片
歌曲吧版权投诉 请联系我们 123456@qq.com